Viongozi wa kidini Marsabit wahimizwa kuunga mkono vita dhidi ya ukeketaji.
NA JB Nateleng Kama njia ya kuimarisha vita dhidi ya ukeketaji katika kaunti ya Marsabit,…
Usalama waimarishwa Isiolo, mifugo iliyoibiwa yarejeshwa kulingana na kamishna David Kiprop.
NA Nyabande Orwa Kamishna wa kaunti ya Isiolo, David Kiprop, amesema kuwa asasi za usalama…
Jamii ya Marsabit yatakiwa kukomesha dhulma dhidi ya watoto
NA JB Nateleng Jamii ya Marsabit imetakiwa kukomesha dhulma dhidi ya watoto kwani ni suala…
IPOA yaanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha Liban Charfi kufuatia malalamishi ya wananchi
NA Caroline Waforo Mamlaka ya Kuchunguza Utendakazi wa Polisi IPOA imeanzisha uchunguzi kubaini iwapo maafisa…
Wakazi wa Loglogo wafurahia uzinduzi wa Makao mpya ya kusaidia watoto waliokumbwa na dhuluma
NA JB Nateleng Wakazi wa Log Logo, eneo bunge la Laisamis, kaunti ya Marsabit, wameeleza…
DCI wanachunguzi mauaji ya Liban Charfi aliyepatikana ameuwawa baada ya kutoweka, Moyale
NA Caroline Waforo Idara ya upelelezi katika kaunti ya Marsabit imesema kuwa inachunguza mauaji ya…
Kituo cha kuwanusuru watoto chazinduliwa Loglogo
NA JB Nateleng Kituo cha kwanza cha kuwanusuru watoto wanaokabiliana na dhulma za kijinsia, ikiwemo…
KUPPET yaitaka serikali kuu kuharakisha mchakato wa kupandisha vyeo walimu na kupunguza muda wa kutekeleza CBA.
NA Samuel Kosgei Katibu wa chama cha walimu wa shule za upili na vyuo vya…
Ukurr Yattani awaonya viongozi wa nje kuingilia siasa za Marsabit
NA Nyabande Orwa Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Marsabit, Ukur Yattani, ametoa wito kwa viongozi…
Mahakama ya Marsabit yaadhimisha siku ya mazungumzo na raia
NA Samuel Kosgei Afisa wa masuala ya watoto katika Kaunti ya Marsabit, Leakey Mukanzi, ametoa…
Mlinzi akamatwa kufuatia uporaji wa duka moja mjini Marsabit
Mlinzi mmoja amekamatwa na kushtakiwa katika mahakama ya Marsabit kuhusiana na kisa ambapo wezi wasiojulikana…
Mwanaume ashtakiwa kwa tuhuma za kumnajisi msichana wa miaka 15, Marsabit Central
Mwanaume mmoja amekamatwa na kushtakiwa katika mahakama ya Marsabit kwa tuhuma za kumnajisi msichana wa…